Polystyrene sulfonate
Jina la Utaratibu la (IUPAC) | |
---|---|
Poly(4-vinylbenzenesulfonic acid) | |
Data ya kikliniki | |
Majina ya kibiashara | Sodium salt: Kayexalate, Kionex, Resonium A Calcium salt: Calcium Resonium, Sorbisterit, Resikali |
AHFS/Drugs.com | Monograph |
MedlinePlus | a682108 |
Kategoria ya ujauzito | C(US) |
Hali ya kisheria | ℞ Prescription only |
Njia mbalimbali za matumizi | Kwa mdomo, uhifadhi wa enema |
Data ya utendakazi | |
Uingiaji katika mzunguko wa mwili | Hakuna |
Kimetaboliki | Hakuna |
Utoaji wa uchafu | Kinyesi (100%) |
Vitambulisho | |
Nambari ya ATC | ? |
Data ya kikemikali | |
Fomyula | [C8H7SO3−] n |
(hii ni nini?) (thibitisha) |
Jina la Utaratibu la (IUPAC) | |
---|---|
Poly(4-vinylbenzenesulfonic acid) | |
Data ya kikliniki | |
Majina ya kibiashara | Sodium salt: Kayexalate, Kionex, Resonium A Calcium salt: Calcium Resonium, Sorbisterit, Resikali |
AHFS/Drugs.com | Monograph |
MedlinePlus | a682108 |
Kategoria ya ujauzito | C(US) |
Hali ya kisheria | ℞ Prescription only |
Njia mbalimbali za matumizi | Kwa mdomo, uhifadhi wa enema |
Data ya utendakazi | |
Uingiaji katika mzunguko wa mwili | Hakuna |
Kimetaboliki | Hakuna |
Utoaji wa uchafu | Kinyesi (100%) |
Vitambulisho | |
Nambari ya ATC | ? |
Data ya kikemikali | |
Fomyula | [C8H7SO3−] n |
(hii ni nini?) (thibitisha) |
Polystyrene sulfonates ni kundi la dawa zinazotumiwa kutibu potasiamu ya juu ya damu.[1][2] Athari zake kwa ujumla huchukua saa moja hadi siku moja.[1] Dawa hii inaweza kuchukuliwa kwa mdomo au kwa njia ya haja kubwa.[1]
Madhara yake ya kawaida ni pamoja na kupoteza hamu ya kula, kuvurugika kwa mfumo wa utumbo, kuvimbiwa choo na upungufu wa kalsiamu katika damu.[1] Madhara yake makubwa yanaweza kujumuisha jeraha la matumbo, upungufu wa elektroliti na kushindwa kwa moyo.[1] Dawa hii inafanya kazi kama resin ya kubadilishana cationi (cation).[1]
Sulfonate ya sodiamu ya polystyrene iliidhinishwa kwa ajili ya matumizi ya kimatibabu nchini Marekani mwaka wa 1958.[1] Nchini Marekani, chumvi ya sodiamu iligharimu takriban dola 60 kwa gramu 450 kufikia mwaka wa 2021.[3] Nchini Uingereza, kiasi hiki cha chumvi ya sodiamu hugharimu takriban £81 huku chumvi ya kalsiamu ikigharimu takriban £125.[2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ 1.0 1.1 1.2 1.3 1.4 1.5 1.6 "Sodium Polystyrene Sulfonate Monograph for Professionals". Drugs.com (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 21 Oktoba 2020. Iliwekwa mnamo 25 Oktoba 2019.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ 2.0 2.1 BNF (tol. la 80). BMJ Group and the Pharmaceutical Press. Septemba 2020 – Machi 2021. uk. 1117. ISBN 978-0-85711-369-6.
{{cite book}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: date format (link) - ↑ "Sodium polystyrene sulfonate Prices, Coupons & Patient Assistance Programs". Drugs.com (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 25 Oktoba 2019. Iliwekwa mnamo 12 Oktoba 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)